sw_tn/deu/32/33.md

764 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.

Mvinyo yao ni sumu ya nyoka na sumu katili ya nyoka

Musa anaendelea kulinganisha adui wa watu wa Israeli kwa mizabibu ambayo kuzaa matunda ya sumu na divai. Hii ina maana adui wao ni waovu.

nyoka

"nyoka"

Huu mpango haujafichwa kwangu kwa siri, na kufungwa kabisa katika hazina zangu?

Swali hili linasisitiza ya kwamba mipango ya Yahwe kwa watu wa Israeli inawekwa siri kama hazina ya thamani. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. Linaweza kuwekwa pia katika hali ya kutenda. "NInajua kile nilichopanga kufanya kwa watu wa Israeli na kwa adui zake, na nimefungia mipango hiyo kama mtu anavyofungia mali yake ya thamani"