sw_tn/deu/32/22.md

672 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.

Kwa maana moto kuwashwa kwa hasira yangu ... misingi ya milima

Yahwe analinganisha hasira yake na moto. Hii inasisitiza nguvu yake ya kuangamiza kile kinachomkasirisha.

moto kuwashwa kwa hasira yangu na inawaka ... inameza ... inawasha

Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Ninaanza moto kwa sababu nimekasirika, na inachoma .. inameza ... inawasha" au "napokuwa nimekasirika, ninaangamiza adui zangu kama moto, na ninaangamiza kila kitu juu ya nchi na ndani .. ninameza ... ninawasha"

hadi chini mwa Sheoli

"hadi katika dunia ya wafu"