sw_tn/deu/31/24.md

120 B

ushahidi dhidi yako

Musa anazungumza na Walawi kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" ni katika umoja.