sw_tn/deu/31/19.md

302 B

Taarifa ya Jumla:

Yahwe anaendlea kuzungumza na Musa kuhusu Waisraeli.

Uweke vinywani mwao

Hii ni lahaja. "Wafanye wakariri na kuimba"

nchi inayotiririka kwa maziwa na asali

Hii ni lahaja. "nchi ambayo maziwa na asali zinatiririka kwa wingi" au "nchi ambayo ni sahihi kwa mifugo na kilimo".