sw_tn/deu/31/12.md

404 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na makuhani na wazee.

mgeni wako aliye miongoni mwa malango yako

Hapa "malango ya mji" yanawakilisha wao wenyewe. Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu moja, kwa hiyo sehemu za "wao" hapa ni katika umoja. "mgeni wako anayeishi ndani ya miji yako"

kushika maneno yote ya sheria hii

"kutii kwa uangalifu amri zote katika sheria hii"