sw_tn/deu/31/09.md

617 B

kuwapatia makuhani, wana wa Walawi

"kuwapatia Walawi, ambao ni makuhani"

miaka saba

"miaka 7"

wa kudumu kwa ajili ya kufuta madeni

"kwa kufuta madeni"

Sikukuu ya Vibanda

Majina mengine ya sikukuu hii ni "Sikukuu ya Tabenakulo", "Sikukuu ya Vibanda", na "Sikukuu ya Kusanyiko". Wakati wa mavuno, wakulima hutenga makazi ya muda shambani. Sikukuu hii ilifanyika baada ya mavuno ya mwisho ya mwaka.

Yahwe Mungu wako ... utasoma

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.

katika kusikia kwao

"ili kwamba waweze kusikia"