sw_tn/deu/31/04.md

736 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na Waisraeli.

alivyofanya kwa Sihoni na kwa Ogu, wafalme wa Waamori

Hapa "Sihoni" na "Ogu" ina maana ya wafalme wawili wa Waamori na majeshi yao. "alifanya kwa Sihoni na Ogu, wafalme wa Waamori, na kwa majeshi wake"

Uwe hodari na mwenye ujasiri mwema

"uwe hodari na jasiri"

usiogope, na usiwaogope

"usiwaogope kabisa"

Yahwe Mungu wako ... pamoja nawe ... hatakuangusha wala kukuacha

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.

hatakuangusha wala kukuacha

Hii inaweza kuwekwa kama tamshi poza na kutafsiriwa kwa chanya. "siku zote atatimiza ahadi zake kwako na atakuwa pamoja nawe siku zote"