sw_tn/deu/31/01.md

671 B

umri wa miaka mia moja na ishirini

"umri wa miaka 120"

Siwezi kutoka na kuingia tena

Hapa upeo wa "kutoka" na "kuingia" inatumika pamoja kumaanisha ya kwamba Musa hawezi tena kufanya kile ambacho mwenye afya anaweza kufanya. "Siwezi kwenda sehemu zote unazohitaji kwenda, kwa hiyo siwezi kuwa kiongozi wenu tena"

Mungu wako ... mbele yako ... mbele yako ... utawanyanganya ... mbele yako

Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.

utawanyanganya

"utachukua nchi yao"

Yoshua atakwenda kabla yako, kama Yahwe alivyonena

"Yoshua atawaongoza kupita mto, kama Yahwe alivyoahidi"