sw_tn/deu/30/17.md

634 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "zako" hapa ni katika umoja.

Lakini moyo wako ukigeuka ... badala yake unavutwa na kusujudia miungu mingine na kuwaabudu

Hapa "moyo" una maana ya mtu mzima. Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "ukiacha kuwa mwaminifu kwa Mungu .. na watu waishio katika nchi hiyo kukushawishi kuinama chini na kuabudu miungu mingine"

kwako leo ya kwamba ... siku zako hazitaongezeka

Musa anaongea na Waisraeli kama kundi.

siku zako hazitaongezeka

Siku kuongezeka ni sitiari ya maisha marefu. "uweze kuishi muda mrefu"