sw_tn/deu/30/13.md

12 lines
644 B
Markdown
Raw Permalink Blame History

This file contains ambiguous Unicode characters

This file contains Unicode characters that might be confused with other characters. If you think that this is intentional, you can safely ignore this warning. Use the Escape button to reveal them.

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.
# Nani atakwenda ngambo ya pili ya bahari kwa ajili yetu na kutuletea kwetu na kutufanya tuisikie, ili tuweze kuifanya?
Hili swali la balagha linaendeleza wazo ya kwamba watu wa Israeli wanafikiri amri za Yahwe ni ngumu sana kufahamu. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Mtu anatakiwa kusafiri katika bahari kujifunza amri za Mungu na kisha kurudi na kutuambia zikoje"
# katika kinywa chako na moyo wako
Hii ina maana watu tayari wanajua amri za Mungu na wanaweza kuzisema kwa wengine.