sw_tn/deu/30/11.md

769 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

wala haipo nje ya uwezo wako kufikia

Musa anazungumza kuweza kuelewa amri inahitaji mtu afanye nini kana kwamba mtu huyo anaweza kufikia kitu halisia. "wala sio vigumu sana kwako kuelewa kile Yahwe anahitaji ufanye"

Nani atayekwenda kwa ajili yetu mbinguni na kutuletea kwetu na kutufanya tuisikie, ili tuweze kuifanya?

Hapa Musa anatumia swali la balagha kusisitiza ya kwamba watu wa Israeli wanafikiri kuwa amri za Yahwe ni ngumu sana kwao kuzifahamu. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Mtu anaweza kusafiri kwenda mbinguni kujifunza amri za Mungu na kisha kurudi kutuambia walichokiona ili tuweze kukitii"