sw_tn/deu/30/09.md

732 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

kazi yote ya mkono wako

Hapa "mkono" ina maana ya mtu mzima. "katika kazi yako yote unayofanya"

katika matunda ya mwili wako ... katika matunda ya mifugo yako ... katika matunda ya nchi yako

Misemo hii mitatu ni lahaja ya "kwa watoto ... kwa ndama ... kwa mazao."

zilizoandikwa

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ambayo nimeandika"

kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote

Hii lahaja ya "kwa moyo .... wote" ina maana ya "yote" na "yako yot ... nafsi" ina maana "na nafsi yako yote". Misemo hii miwili ina maana moja. "kwa nafsi yako yote" au "kwa nguvu zako zote"