sw_tn/deu/30/06.md

831 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.

atatahiri moyo wako

Hii sio kutoa kwa nyama kihalisia. Ina maana ya kuwa Mungu atatoa dhambi yao na kuwawezesha kumpenda na kumtii yeye.

kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote

Hii lahaja ya "kwa moyo .... wote" ina maana ya "yote" na "yako yot ... nafsi" ina maana "na nafsi yako yote". Misemo hii miwili ina maana moja. "kwa nafsi yako yote" au "kwa nguvu zako zote"

kutii sauti ya Yahwe

Hapa "sauti" ina maana ya kile Yahwe anasema. "tii kile Yahwe anasema"

ataweka laana hizi zote kwa maadui zako

Musa anazungumzia laana kana kwamba walikuwa mzigo au kifuniko ambacho mtu angeweza kuweka kihalisia juu ya mtu. "atasababisha adui zako kuteseka kutokana na laana hizi"