sw_tn/deu/30/04.md

346 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

Iwapo yeyote ya watu walio uhamishoni wapo katika sehemu za mbali sana

"Hata wale watu walio uhamishoni ambao wapo katika sehemu za mbali sana"

chini ya mbingu

"chini ya mbingu" au "juu ya dunia"