sw_tn/deu/29/29.md

353 B

Mambo ya siri ni ya Yahwe Mungu wetu pekee

"Baadhi ya mambo Yahwe Mungu wetu hajayafunua, na ni yeye pekee anayajua"

yaliyofichuliwa

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ambayo ameyafunua"

tufanye maneno yote ya sheria hii

Maneno "maneno" ni lugha nyingine kwa "amri". "tunaweza kufanya kila kitu ambacho sheria hii inatuamuru kufanya"