sw_tn/deu/29/25.md

314 B

Ni kwa sababu walitelekeza agano la Yahwe, Mungu wa mababu zao

Hili ni jibu la "Kwa nini Yahwe alifanya hivi katika nchi hii?" 29:22. "Yahwe amefanya hivi katika nchi kwa sababu Waisraeli hawakufuata ahadi na sheria za agano lake"

kutumikia miungu mingine na kuzisujudu

"walitii miungu mingine na kuiabudu"