sw_tn/deu/29/22.md

1.5 KiB

Kizazi kifuatacho, watoto wako watakaoinuka baada yako

Maneno "watoto wako ...baada yako" kusema nani "kizazi kifuatacho" ni kipi.

mapigo juu ya nchi hii na magonjwa ambayo Yahwe ameyafanya yawe

"jinsi Mungu alivyolaani nchi ya Kaanani na mapigo na maradhi"

watakapoona kuwa nchi yote imekuwa salfa na chumvi ichomayo

Watu waliweka salfa na chumvi juu ya ardhi kuzuia kitu kuota. "watakapoona ya kwamba Yahwe amechoma nchi kwa salfa na chumvi"

ambapo hakuna kitu kipandwacho au kuzaa matunda

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "pale ambapo hakuna mtu awezaye kupanda mbegu na mazao hayawezi kuzaa matunda"

kama anguko la Sodoma na Gomora

Nomino inayojitegemea "anguko" inaweza kuwekwa kama ibara. "kama vile Yahwe alivyowaangamiza kabisa Sodoma na Gomora"

Adma na Seboimu

Haya ni majina ya miji ambayo Yahwe aliangamiza pamoja na Sodoma na Gomora.

katika ghadhabu na hasira yake

Nomino inayojitegemea "hasira" na "ghadhabu" kimsingi ina maana ya kitu kimoja na inaweza kutafsiriwa kama msemo wa kivumishi. "alipokuwa na hasira sana"

watasema pamoja na mataifa mengine ... inamaanisha nini?

Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu isiyokuwa moja kwa moja. "watauliza pamoja na mataifa mengine yote kwa nini Yahwe amefanya hili juu ya nchi, na maana ya joto la hasira hii kuu ina maana gani"

watasema pamoja na mataifa mengine

"vizazi vyako na watu wa mataifa mengine yote watasema"

Joto ya hasira hii kali inamaanisha nini?

Mwandishi anawasilisha wazo moja kutumia maneno mawili. "Hasira hii mbaya ina maana gani?"