sw_tn/deu/29/14.md

254 B

ninafanya

Hapa "ninafanya" ina maana ya Yahwe. "Yahwe anafanya"

aliyesimama hapa pamoja nasi

Hapa "nasi" ina maana ya Musa na watu wa Israeli.

wale ambao hawapo hapa

"vizazi vya baadaye, ambavyo havipo hapa"

tulivyoishi

"tulikuwa watumwa"