sw_tn/deu/28/56.md

817 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

Mwanamke laini na mlegevu miongoni mwenu...maringo

Musa anasema kwamba siyo wale peke mmoja anategemea kula watoto wao, lakini hata wanawake wa uzao wa heshima na upole wa kawaida, ambao mmoja kamwe asingetegemea kula watoto wao, watakula watoto wao. Neno "wewe" hapa ni umoja.

ambaye hatadiriki kuweka tako la mguu wake ardhini kwa sababu ya ulaini na maringo yake

Musa anatia chumvi. Anasisitiza kwamba mwanamke wa heshima yuko tajiri sana na huishi katika kifahari kwamba hataweza kujiruhusu mwenyewe kuwa mchafu.

ulaini na maringo

Hii jina "ulaini" na "maringo" yanaweza kusemwa kama kishazi

ndani ya malango ya mji wako

Hapa "malango ya mji" uwakilisha miji yenyewe.