sw_tn/deu/28/36.md

505 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

mithali, na uvumi, miongoni mwa watu wote ambako Yahwe atakupeleka.

Maneno "mithali" na "uvumi" kimsingi umaanisha kitu kile kile. Hii inaweza kutofasiriwa kama sentensi mpya. "na watu watafanya mithali na uvumi kuhusu wewe" au "Yahwe atakutuma wewe kwa watu ambao watakucheka wewe na kukuziaki."

uvumi

neno au kikundu cha maneno ambayo watu utumia kuwaabisha wengine.