sw_tn/deu/28/23.md

505 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa viko kwenye umoja.

mbingu...zitakuwa shaba

Musa anazungumza juu ya mbingu kuwa kama shaba kwa sababu hapatakuwa na mvua.

ardhi...itakuwa chuma

Musa anazungumza na ardhi kuwa kama chuma kwa sababu hakuna mazao yatakuuwa.

fanya mvua ya ardhi yako kuwa unga na vumbi

"badala ya mvua, kutakuwa na kivumbi"

hadi utakapoangamizwa

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "mpaka ikuangamize"