sw_tn/deu/28/05.md

473 B

Habari ya jumla

Musa uzungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.

Ubarikiwa

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Yahwe atakubariki"

vikapu vyako na chombo cha kukandia

Waisraeli walitumia kikapu kubeba nafaka. Chombo cha kukandia lilikuwa bakuri walilotumia kuchanganyia nafaka na kutengeneza mkate.

wakati unakuja ndani...wakati unaenda nje

"merism" urejea kwa shughuli zote za maisha kila sehemu walipoenda.