sw_tn/deu/28/03.md

755 B

Habari ya jumla

Musa uzungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "wako" hapa ni umoja.

Kubarikiwa itakuwa kwako

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Yahwe atakubariki"

kwenye mji...kwenye shamba

Hii "merism" umaanisha kwamba Yahwe atawabariki popote.

matunda ya mwili wako, na matunda ya ardhi yako, na matunda ya wanyama

Hizi ni nahau kwa " watoto wako, na mazao yako, na wanyama wote wako" umbo la "merism" kwa kila kitu Waisraeli wathaminio.

matunda ya wanyama, ongezeko la mifugo yako, na kundi la wanyama wadogo

Kujirudiarudia mara mbili kuko katika njia tatu za kusema kwamba Yahwe atawafanya wanyama wa Waisraeli wengi na wenye nguvu. "wanyama wako wote pamoja na ndama wa ng'ombe na kundi la kondoo"