sw_tn/deu/28/01.md

20 lines
688 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa uzungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "wewe" na "wako" hapa ni umoja
# kwa sauti ya Yahwe Mungu wako
Hapa maneno "sauti ya Yahwe" urejea kwa kile asemavyo. "Kwa kile Yahwe Mungu wenu asemavyo"
# ili kushika
"na kutii"
# jiweke juu
Musa uzungumza kuwa muhimu au kuwa kuu kama ilikuwa kubwa kimwili, kama juu ya mlima."kukufanya wewe muhimu zaidi kuliko" au kukufanya wewe mkuu kuliko"
# Baraka hizo zote zitakuwa kwako na kukupita
Musa aelezea baraka kama mtu ambaye angeweza kukuwavamia kwa mshituo au nafasi na kuzishika. "Yahwe atakubariki kwa njia hizi ambazo zitakushitusha kabisa, na itakuwa kama hautakwepa yeye kukubariki"