sw_tn/deu/27/11.md

320 B

Makabila haya

Hapa lugha nyingine ya "makabila" ina maana ya watu kutoka kwa makabila ya Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yusufu, na Benyamini. "Watu kutoka kwa makabila haya"

mlima Gerizimu

Mlima mdogo kaskazini mwa Mlima Ebali.

Yusufu

Hii inajumlisha makabila ya Efraimu na Manase, ambao ni vizazi vya Yusufu.