sw_tn/deu/26/16.md

12 lines
666 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote
Lahaja ya "kwa moyo wako" ina maana "kikamilifu" na "kwa nafsi yote" ina maana ya "nafsi yako yote". Misemo hii miwili ina maana moja. "kwa nafsi yako yote" au "kwa nguvu zako zote".
# kwamba utatembea katika njia zake na kushikilia sheria zake, maagizo yake na amri zake, na kwamba utaisikiliza sauti yake
Maneno "utatembea", "kushikilia", na "utasikiliza" ina maana ya kufanana hapa. Hapa "sauti" ina maana ya kile Mungu alichosema. "ya kwamba utatii kikamilifu kila kitu Yahwe anachoamuru"