sw_tn/deu/26/10.md

540 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuwaambia Waisraeli kile wanachotakiwa kusema pale watakapoleta mazao yao ya kwanza kwa Yahwe. Anazungumza kwao kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" na "yako" hapa ni katika umoja.

mavuno ya kwanza

"matunda ya kwanza ya mavuno" au "mazao ya kwanza ya mavuno"

Unapaswa kuweka chini

"Unapaswa kuweka kikapu chini"

unapaswa kufurahia katika mema yote ambayo Yahwe Mungu wako amekufanyia

"unapaswa kufurahi na kushukuru kwa mambo yote mazuri ambayo Yahwe Mungu wako amekufanyia"