sw_tn/deu/25/09.md

774 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

anatakiwa kuja kwake mbele ya wazee

"anapaswa kutembea kwake huku wazee wakimuangalia"

asiyetaka kujenga nyumba ya kaka yake

Hapa "nyumba" ni lugha nyingine ya familia. "ambaye hampatii kaka yake mwana na kuendeleza ukoo wa kaka yake"

Jina lake Israeli litaitwa

"Watu wa Israeli watajua familia yake kama"

Nyumba ya mtu aliyevuliwa ndara zake

Hapa kutoa ndara inaashiria ya kwamba kaka asingepokea mali yoyote ya kaka yake aliyefariki. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Nyumba ya yule ambaye ndara yake ilivuliwa na mjane wa kaka yake aliyekufa ambaye hakumuoa" au "familia ambayo kila mtu anaichukia" au "Familia ambayo ni ya aibu"