sw_tn/deu/25/03.md

793 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Muamuzi anaweza kumpatia mapigo arobaini

"Muamuzi anaweza kusema ya kwamba wanatakiwa kumpiga mtu mwenye hatia mara 40"

lakini hapaswi kuvuka idadi hiyo

"lakini muamuzi hapaswi kuwaamuru wampige zaidi ya mara 40"

kwa maana akivuka idadi hiyo na kumpiga kwa mapigo mengi zaidi

"kwa sababu kama muamuzi atawaamuru kumpiga zaidi ya mara 40"

basi Muisraeli mwenzako atakuwa kaaibishwa mbele ya macho yenu

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kisha muamuzi atamuaibisha Muisraeli mwenzako mbele ya watu wote wa Israeli"

kaaibishwa mbele ya macho yenu

Hapa lugha nyinginr ya "mbele ya macho yenu" ina maana ya kile watakachokiona. "kuaibishwa, nanyi wote mtaona". Maneno ya kufanana hujitokeza katika 1:7