sw_tn/deu/25/01.md

427 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Iwapo mwanamume mwenye hatia anastahili kupigwa

Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Kama muamuzi ataamuru wampige mtu mwenye hatia"

na kupigwa mbele zake

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "na atawatazama wakimpiga"

kwa idadi iliyoamriwa kulingana na kosa lake

"idadi ya namba aliyoamuru kwa sababu ya matendo mabaya aliyoyafanya"