sw_tn/deu/23/17.md

32 lines
997 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.
# kahaba wa kidini ... kahaba wa kidini ... kahaba ... mbwa
Yahwe anatoa orodha kamili ya aina mbili za ukahaba za wanamume na wanawake kukataza ukahaba wa mtu kwa sababu yoyote ile.
# kahaba wa kidini ... miongoni mwa mabinti ... miongoni mwa wana wa kiume
Maana zaweza kuwa ya kwamba Musa 1) alikataza wazi wanawake na wanamume kufanya matendo ya ngono kama sehemu ya ibaada hekaluni au 2) anatumia tasifida kukataza wanawake na wanamume kufanya matendo ya ngono kupokea pesa.
# Hautakiwi kuleta mshahara wa kahaba ... katika nyumba
"Mwanamke anayepata pesa kama kahaba hatakiwi kuleta pesa hiyo ... katika nyumba"
# mbwa
mwanamume ambaye anaruhusu wanamume kufanya ngono na yeye kwa pesa
# katika nyumba ya Yahwe Mungu wako
"katika hekalu"
# kwa kiapo chochote
"kutimiza kiapo"
# vyote hivi
mshahara wa kahaba wa kike na kahaba wa kiume.