sw_tn/deu/23/07.md

597 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja

Hutakiwi kumchukia Muedomi

"Usimchukie Muedomi"

kwa maana ni ndugu yako

"kwa sababu ni jamaa yako"

hutakiwi kumchukia Mmisri

"Usimchukie Mmisri"

Wazawa wa kizazi cha tatu wanaozaliwa kwao wanaweza kuwa katika kusanyiko la Yahwe

Hii "tatu" ni mpangilio wa nambari ya tatu. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "Kama Muedomi au Mmisri anakuja kuishi katika jamii ya Kiisraeli, wajukuu wake wanaweza kuwa washiriki kamili wa jamii"