sw_tn/deu/22/16.md

20 lines
819 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa bado anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# amemtuhumu na vitu vya aibu
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "amemtuhumu kwa kulala na mtu mwingine kabla hajamuoa"
# Sikukuta ushahidi wa ubikira kwa binti yako
Nomino zinazojitegemea za "ushahidi" na "bikira" zinaweza kutafsiriwa kama misemo ya vitenzi. "Binti yenu hakuweza kuthibitisha ya kuwa alikuwa bikira"
# Lakini ushahidi huu hapa wa ubikira wa binti yangu
Nomino zinazojitegemea za "ushahidi" na "bikra" vinaweza kutafsiriwa kama misemo ya vitenzi. "Lakini hii inathibitisha ya kuwa binti yangu alikuwa bikira"
# Kisha watatandaza shuka mbele ya wazee wa mji
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "Na kisha mama na baba watatoa nguo yenye doa la damu kwa wazee kama ushahidi ya kuwa alikuwa bikira"