sw_tn/deu/22/12.md

312 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo maneno "yako" hapa ni katika umoja.

pembe

"manyamunyamu". Hizi ni nyuzi ambazo zimefungwa pamoja na kuning'inizwa kutoka kwenye pembe moja ya joho.

za nguo

Nguo ndefu ambalo mtu huvaa juu ya mavazi yake mengine.