sw_tn/deu/21/06.md

603 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

mtamba aliyevunjwa shingo

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "mtamba ambaye shingo yake ilivunjwa na makuhani"

na wanapaswa kutoa suhulisho juu ya jambo hilo

"na wanapaswa kushuhudia kwa Yahwe juu ya jambo hili"

Mikono yetu haijamwaga damu hii

Hapa "mikono" ni lugha nyingine ya mtu mzima na "kumwaga damu" ni lugha nyingine ya kumuua mtu asiye na hatia. "Hatukumuua mtu huyu asiyekuwa na hatia"

wala macho yetu hayajaona suala hili

Hapa "macho" yana maana ya mtu mzima. "na hatuona mtu yeyote akimuua mtu huyu"