sw_tn/deu/21/03.md

271 B

hajawahi kubebeshwa nira

"hajawahi kuvaa nira"

litiririkalo maji

Hii ni lahaja ya maji yanayotiririka. "kijito"

bonde ambalo halijawahi kulimwa wala kupandwa

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "bonde ambalo hakuna mtu hajalima nchi wala kupandwa mbegu"