sw_tn/deu/20/08.md

685 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuelezea matukio yanayomruhusu mtu kuondoka jeshini.

Ni mwanaume gani aliye hapa ambaye ni mwenye hofu au mnyonge? Acha aende na arudi nyumbani kwake

"Kama askari yeyote hapa ana hofu na sio jasiri, anapaswa kurudi nyumbani kwake"

hofu au mnyonge

Maneno haya yote mawili yana maana moja. "anaogopa kupigana vitani"

moyo wa ndugu yake usiyeyuke kama moyo wake mwenyewe

Hii ni lahaja. "Muisraeli mwingine hawi na hofu kama anaogopa"

moyo wa ndugu yake ... moyo wake mwenyewe

Hapa "moyo" unawakilisha ujasiri wa mtu.

wanapaswa kuteua majemedari juu yao

"maafisa wanapaswa kuteua watu kuwa majemedari na kuwaongoza watu wa Israeli"