sw_tn/deu/20/02.md

754 B

Taarifa ya Jumla:

Musa aliendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

kuongea na watu

"zungumza na maaskari wa Israeli"

Msidhofishe moyo wenu. Msiohofu au kutetemeka. Msiwaogope

Misemo hii minne yote ina maana moja na inasisitiza kwa nguvu ya kwamba hawapaswi kuogopa. Iwapo lugha yako haina njia nne ya kuelezea wazo hili, unaweza kutumia chini ya njia nne.

Msidhofishe moyo wenu

Hapa "moyo" inawakilisha ujasiri wa watu. Kwa moyo kudhoofika ni lugha nyingine inayomaanisha "Usiogope"

Yahwe Mungu wenu ndiye aendae pamoja nanyi kupigana kwa ajili yenu dhidi ya maadui zenu

Yahwe kuwashinda adui wa watu wa Israeli inazungumziwa kana kwamba Yawhe alikuwa mpiganaji ambaye angepigana pamoja na watu wa Israeli.

kuwaokoa

"kukupa ushindi"