sw_tn/deu/20/01.md

576 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Pindi utokapo kwenda vitani kupigana dhidi ya adui zako

"Utakapokwenda kupigana katika vita dhidi ya adui zako"

na kuona farasi, vibandawazi

Watu walichukulia jeshi lenye farasi wengi na vibandawazi kuwa na nguvu sana. Maana kamili ya kauli hii yaweza kuwekwa wazi.

yeye aliyekuleta juu kutoka nchi ya Misri.

Yahwe aliwaleta watu kutoka Misri hadi Kaanani. Ilikuwa kawaida kutumia neno la "juu" kuzungumzia safari ya kutoka Misri kwenda Kaanani. "Yahwe aliyekuongoza kutoka katika nchi ya Misri"