sw_tn/deu/19/15.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown

# Habari ya jumla
Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.
# Shahidi mmoja pekee
"Shahidi mmoja" au "shahidi mmoja pekee"
# hapaswi kuinuka dhidi ya mtu
Hapa "kuinuka" umaanisha kusimama mahakamani na kusema kinyume ya mtu kwa jaji. "haupaswi kusema kwa majaji kuhusu kibaya alichofanya mtu"
# katika jambo lolote ambalo amefanya dhambi
"wakati wowote ambao mtu ufanya kitu kibaya"
# kwa kinywa cha mashahidi wawili, au kwa kinywa cha mashahidi watatu
Hapa "kinywa" uwakilisha nini mashahidi wanasema. Inamaanisha kwamba kunapaswa angalau kuwa na mashahidi wawili au watatu.
# lazima jambo lolote lihakikishwe
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "utahakikisha kwamba mtu ana hatia"
# Kama hivyo
"Wakati" au "kama"
# shahidi asiye wa haki
"shahidi ambaye anatarajia kumdhuru mtu mwingine"
# kuinuka kinyume cha mtu yoyote kushuhudia kinyume cha uovu wake.
Hapa "kuinuka" umaanisha kusimama mahakamani na kusema kinyume cha mtu kwa jaji. "umwambia jaji kwamba mtu alifanya dhambi ili kumuingiza mtu kwenye shida" au "umwambia jaji kwamba mtu alifanya dhambi, ili kwamba jaji amhukumu"