sw_tn/deu/19/08.md

1.6 KiB

Habari ya jumla

Musa bado anazungumza kwa watu wa Israeli

kukuza mipaka yako

"ukupa ardhi zaidi kumiliki"

kama alivyowaapia baba zako kufanya

"kama alivyowaahidi babu zenu kwamba atafanya"

kama utayashika hizi amri kuzifanya

"kama unatii amri zote hizi"

daima kutembea kaitka njia zake

Namna Mungu anahitaji mtu aishi au kutenda husemwa kama ilikuwa njia ya Yahwe au barabara. Mtu ambaye anamtii Yahwe husemwa kama alikuwa anatembea kwenye njia ya Yahwe au barabara.

kisha unapaswa kuongeza miji mitatu au zaidi kwa ajili yako

Maana kamili ya maelezo haya inaweza kufanywa wazi. "kisha unapaswa kuchagua miji mitatu zaidi kwa ajili ya mtu kutoroka kama amemuuwa mtu kwa ajili"

badala ya hii mitatu

"kwa nyongeza ya miji mitatu uliyoanzisha tayari"

Fanya hivi ili damu ya asiye na hatia isimwangwe.

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo wa kazi. "Fanya hivi ili kwamba ndugu wa familia wasiuwe mtu asiye na hatia"

katikati mwa nchi

"kwenye ardhi" au "kwenye wilaya"

Yahwe Mungu wenu anawapa kama urithi

Nchi ambayo Yahwe anawapa watu wa Israeli husemwa kama ilikuwa urithi.

ili usiwe na hatia ya damu kwako

Watu wa Israeli kuwa na hatia kwa ajili ya mtu kufa kwa sababu hawakujenga mji ambao angekuwa salama kutoka kwa "mlipizi wa damu" inasemwa kama hatia ya kifo chake kiko juu yao.

damu ya hatia

Hapa "damu" uwakilisha uhai na "hatia ya damu" urejea kwa hatia ya mtu aliyo nayo kwa kuuwa mtu asiye na hati.

labda iwe juu yenu

Hii ina maana ya kwamba ndugu wa familia anauwa mtu asiye na hati, basi watu wote wa Israeli watakuwa na hatia kwa kuruhusu hilo kufanyika.