sw_tn/deu/18/15.md

959 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Yahwe Mungu wenu atainua kwa ajili yenu nabii

Yahwe kuteua mtu kuwa nabii husemwa kama Yahwe uinua mtu juu.

moja ya ndugu zenu

"moja ya ndugu Waisraeli"

Hiki ndicho ulichouliza

Hapa "wewe" urejea kwa Waisraeli huko kwenye Mlima Horebu kuhusu miaka 40 ya awali.

huko Horebu siku ile ya kusanyiko

"siku ile mlipokusanyika pamoja huko Horebu"

siku ya kusanyiko, kusema, "Hebu tuache kusikia tena sauti ya Yahwe Mungu wetu, wala kuona moto wake mkuu tena, au tutakufa'

Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kusemwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. "siku ya kusanyiko wakati uliposema kwamba haukutaka kusikia sauti ya Yahwe Mungu wetu, wala kuona moto mkuu tena, kwa sababu uliogopa kwamba utakufa"

Hebu tuache kusikia tena sauti ya Yahwe Mungu wetu

Hapa "sauti" uwakilisha Yahwe anazungumza. "Hebu tuache kumsikia Yahwe Mungu wetu anazungumza tena"