sw_tn/deu/18/12.md

207 B

kuwaondoa

Hapa "wao" urejea kwa watu tayari wanaishi huko Kanani.

Kwa mataifa haya

Hapa "mataifa" usimama kwa ajili ya makundi ya watu ambao wanaishi Kanani.

kuwaondoa

"kuwaondoa" au kuwatoa nje"