sw_tn/deu/18/09.md

24 lines
816 B
Markdown

# Wakati unapokuja
Hapa "kuja" kunaweza kutofasiriwa kama "kwenda" au "kuingia"
# haupaswi kujifunza kuchunguza machukizo ya mataifa hayo
Mungu achukia shughuli za kidini za watu kwa mataifa yanayowazunguka. Anawazingatia kuwa mbaya sana. Hapa "mataifa" uwakilisha watu.
# haipaswi kupatikana kati yenu yeyote
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Pasiwepo miongoni mwenu"
# kumweka kijana wake au binti wake kwenye moto
"kutoa dhabihu watoto wake kwenye moto juu ya madhabahu"
# yoyote atumiae uchawi ...aongea na roho
Hawa ni watu tofauti wanaotumia uchawi. Mungu amekataza kila aina ya uchawi. Kama hauna neno kwa aina hii ya watu, inaweza kusemwa kwa ujumla. "yeyote atumiae uchawi kujaribu kungundua nini kitatokea badae, kuelezea, au kuongea na roho wafu"
# kufungua
kutumia uchawi kutabili baadaye