sw_tn/deu/18/01.md

527 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuwambia watu kile Yahwe anahitaji wao wafanye.

hatutakuwa na sehemu wala urithi pamoja na Israeli.

Walawi hawapokei ardhi yoyote kutoka kwa Yahwe husemwa kama hawatapokea urithi.

hakuna sehemu

"hakuna sehemu" au "hakuna sehemu"

miongoni mwa ndugu zake

"miongoni mwa makabila mengine ya Israeli" au miongoni mwa Waisraeli"

Yahwe ni urithi wao

Musa azungumza kwa heshima kwa Aroni na wazao wake watakuwa kwa kumtumikia Yahwe kama makuhani kama Yahwe alikuwa kitu watakachorithi.