sw_tn/deu/17/16.md

565 B

kwa kuwa Yahwe alikwisha sema kwako, "Haupaswi kuanzia sasa kamwe usirudi njia hiyo tena'

Hii imekuwa nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kusemwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. "kwa kuwa Yahwe amekwisha sema kwamba haupaswi kamwe kurudi Misri tena"

ili moyo wake usiondoke kutoka kwa Yahwe

Hapa "moyo" urejea kwa mtu mzima. Wafalme mara nyingi walioa wanawake kutoka mataifa mengine ambayo yaliabudi miungu tofauti. Mfalme wa Israeli ambaye anaanza kuabudu miungu ya uongo wa mke wake husemwa kama moyo wake umegeuka mbali kutoka Yahwe.