sw_tn/deu/17/14.md

952 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Wakati ulipokuja kwenye nchi

Neno "kuja kwenye" linaweza kutofasiriwa kama "kwenda kwa" au "kuingia."

basi unasema, 'Nitaweka mfalme juu yangu, kama mataifa yote ambayo yananizunguka'

Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kusemwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. "basi unaweza kuamua kwamba unahitaji mfalme kama wa watu wa mataifa ambayo yana wafalme"

weka mfalme juu yangu

Kumpa mtu mamlaka kutawala kama mfalme huko Israeli husemwa kama watu walikuwa wanamweka mtu katika sehemu iliyo juu yao.

kama matiafa yote ambayo yananizunguka mimi

"kama mataifa yaliozunguka"

mataifa yote

mataifa yote Hapa "matiafa" uwakilisha mtu anaishi kwenye mataifa.

moja kutoka miongoni mwa ndugu zenu

"moja ya Waisraeli wenzako"

mgeni, ambaye siyo ndugu yako

Yote haya makundi ya maneno umaanisha kitu kile. Ote urejea kwa mtu ambaye siyo Mwiisraeli.