sw_tn/deu/17/10.md

402 B

Unapaswa kufuata sheria uliyokupa

Mtu kutii kile makuhani na mwamuzi wanachoamua husemwa kama mtu kimwili anafuata kwa nyuma sheria. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Unapaswa kutii kile mwamuzi na makuhani wanamua kuhusu jambo"

Usigeuke kwa kile wanachokuambia, kwa mkono wa kulia au kushoto.

Mtu asipofanya hasa kila mwamuzi na makuhani wanasema anasemwa kama alikuwa ameiacha njia sahihi/