sw_tn/deu/17/01.md

267 B

Habari ya jumla

Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.

ambayo ni kosa lolote

"ambayo ina kosa" au "ambayo ina kitu kibaya" Mnyama anapaswa kuonekana mwenye afya pasipo kuwa na ulemavu.

hiyo itakuwa chukizo kwa Yahwe

"ambayo itakuwa machukizo kwa Yahwe"