sw_tn/deu/16/18.md

1.6 KiB

Habari ya jumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Mnapaswa kuwa na majaji

"Mnapaswa kuteua majaji" au " Mnapaswa kuchagua majaji"

ndani ya malango ya mji wenu

Hapa "malango" uwakilisha mji. "ndani ya miji yenu yote"

watachukuliwa

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo tendaji. "utawachagua"

wahukumu watu kwa hukumu ya haki

"hukumu watu kwa haki"

Usiondoe haki kwa nguvu

Musa azungumzia haki kama kilikuwa kitu halisi ambacho mtu mwenye nguvu anaweza kwa ukali kutoa kwa mtu dhaifu. "Haupaswi kuwa na upendeleo wakati unahukumu. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo chanya. Lugha yako inaweza kuwa na neno moja ambalo lina maanisha "tumia nguvu kuondoa." "Unapaswa kufanya maamuzi ya haki"

hampaswi

Hapa "m" urejea kwa wale watateuliwa kama majaji na maafisa.

kwa kuwa rusha upofusha macho ya hekima na kupotosha maneno ya wenye haki

Kuchukua rusha husemwa kama rushwa uwaharibu watu. "kwa kuwa hata mtu wa hekima ambaye apokea rushwa atakuwa kipofu, na hata mtu mwenye haki apokea rushwa atasema uongo"

rushwa upofusha macho ya mwenye hekima

Mtu wa hekima apokeae rushwa ili asiongee dhidi ya kitu kiovu husemwa kama amekuwa kipofu.

mwenye hekima

Kivumishi jina "mwenye hekima" kinaweza kutofasiriwa kama kivumishi.

na kupotoshwa maneno ya mwenye haki

Kivumishi jina "haki" kinaweza kutofasiriwa kama kivumishi.

kufuata baada ya haki, baada ya haki pekee

haki husemwa kama mtu ambaye anatembea. Mtu ambaye anafanya kile kilicho sawa na haki husemwa kama alikuwa anafuta kwa karibu nyuma ya haki.

urithi nchi ambayo Yahwe Mungu wenu anawapa

Kupokea nchi ambayo Mungu anawapa watu husemwa kama watu walikuwa wanarithi nchi kutoka kwa Mungu.